Artwork

Вміст надано Innocent Ngaoh. Весь вміст подкастів, включаючи епізоди, графіку та описи подкастів, завантажується та надається безпосередньо компанією Innocent Ngaoh або його партнером по платформі подкастів. Якщо ви вважаєте, що хтось використовує ваш захищений авторським правом твір без вашого дозволу, ви можете виконати процедуру, описану тут https://uk.player.fm/legal.
Player FM - додаток Podcast
Переходьте в офлайн за допомогою програми Player FM !

Ufanye Nini Unapitia Hali Ya Kutoeleweka Katika Mapambano Au Utafutaji Wako?...

14:46
 
Поширити
 
Manage episode 392595956 series 3280689
Вміст надано Innocent Ngaoh. Весь вміст подкастів, включаючи епізоди, графіку та описи подкастів, завантажується та надається безпосередньо компанією Innocent Ngaoh або його партнером по платформі подкастів. Якщо ви вважаєте, що хтось використовує ваш захищений авторським правом твір без вашого дозволу, ви можете виконати процедуру, описану тут https://uk.player.fm/legal.
Usijisikie vibaya kuona watu wa karibu au wa mbali hawaelewi wala hawapo tayari kukuelewa kuhusu mapambano yako. Inaumiza kuona watu ambao unawapenda na kuamini inaweza kuwa, 📌 Wazazi wako, Ulitegemea ndiyo wangekuwa watu wa kwanza kukuelewa na kuamini unachofanya na imekuwa tofauti wanakukosoa na kukalaumu kwanini unafanya hicho. 📌 Marafiki zako, Marafiki ambao umeshindana nao muda mwingi wanakuwa hawaamini unachofanya na hawaelewi mapambano yako na kuona unapoteza muda au pengine unapoteza muda au hutopata matokeo. 📌 Viongozi au boss wako, Inawezekana ni watu ambao unataka waelewe juhudi na kujitoa tofauti ila inakuwa tofauti wanakuwa hawaelewi na zaidi wanaona hujielewi inaumiza sana. 📌 Ndugu zako, Ndugu wanakuwa watu wa kwanza kukubeza na kuona kama umerukwa na akili kwa kuwa unafanya tofauti na matarajio au matazamio yao, pasipo kujua una ndoto zako na siyo ndoto zao. 📌 Mpenzi wako, Ulitegemea mpenzi wako angekuwa mtu wa kwanza kukusapoti, kukuhamasisha, kukushika mkono na kuelewa mapambano yako ila imekuwa tofauti amekuwa mbali na wewe, na kuishia kupata mashaka anakupenda kweli au yupo kwako ila mapenzi hayapo kwako? Pasipo kujali ni watu ambao hawaelewi unachofanya isiwe sababu ya kukata tamaa na kuona labda unachofanya siyo sahihi. Kwa sababu... Siyo lazima wakuelewe ila ni Muhimu kujielewa na kuelewa unachofanya ndiyo jambo la muhimu zaidi. Kuwa na mtazamo chanya kuwa unachofanya ni sahihi katika eneo sahihi ni suala la muda utapata matokeo. Wasipokuwa tayari kuelewa mapambano yako, basi wataelewa mafanikio yako, Kwahiyo endelea kupambana mpaka kieleweke. Inaumiza sana kuona hawaelewi, Naelewa maana sisi ni mashuhuda kwenye mapambano tunayofanya wanasubiri kuona mwisho wetu utakuwa upi. Ila MUNGU alivyo wa ajabu anatuketisha kwenye meza na wakuu. Amini unachofanya na JUHUDI siku zote haziganganyi na siyo lazima wakuelewe kwenye kila kitu ndiyo Maisha yalivyo rafiki yangu. Inawezekana unataka wakuelewe kwenye, 1. Kipaji chako, 2. Mawazo yako, 3. Biashara yako, 4. Ubunifu wako, 5. Huduma yako, n.k. Endelea kupambana hata kama hawakuelewi maana kuna wengine hawataki kukuelewa si kwamba unafanya kitu kibaya laasha!
  continue reading

113 епізодів

Artwork
iconПоширити
 
Усі епізоди

×
 
Loading …

Ласкаво просимо до Player FM!

Player FM сканує Інтернет для отримання високоякісних подкастів, щоб ви могли насолоджуватися ними зараз. Це найкращий додаток для подкастів, який працює на Android, iPhone і веб-сторінці. Реєстрація для синхронізації підписок між пристроями.

Короткий довідник

Слухайте це шоу, досліджуючи
Відтворити