RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI WAKATI WA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA
Manage episode 447991271 series 3592267
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya kushiriki Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaung ambao uliandaliwa na Taasisi ya World Food Foundation katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 31 Oktoba, 2024. Mkutano huo unaowakutanisha wadau mbalimbali wa kilimo una lengo la kutafuta suluhu ya changamoto ya upatikanaji wa chakula Duniani inayochochewa na mabadiliko ya tabianchi.
45 епізодів