HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU 6 MKOANI MOROGORO ,TAREHE 06,AGOSTI 2024.
Manage episode 433413036 series 3592267
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya Kikazi tarehe 06 Agosti, 2024.
45 епізодів