Переходьте в офлайн за допомогою програми Player FM !
Somalia : Yataka ujumbe wa umoja wa mataifa wa kisiasa kuondoka
Manage episode 418433593 series 1143115
Serikali ya Somalia imeandikia bazara la usalama la umoja wa mataifa ikitaka ujumbe wa umoja huo ambao umekuwa ukisaidia serikali katika maswala ya kisiasa na usalma kuondoka.
Hakuna sababu maalumu zilizotolewa na serikali ya Somalia, hapa tunakuuliza je ni sahihi kwa ujumbe huu wa umoja wa mataifa kuondoka kipindi hiki nchi hiyo ikizidi kupitia changamoto za kiusalama?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.
24 епізодів

Усі епізоди
×Ласкаво просимо до Player FM!
Player FM сканує Інтернет для отримання високоякісних подкастів, щоб ви могли насолоджуватися ними зараз. Це найкращий додаток для подкастів, який працює на Android, iPhone і веб-сторінці. Реєстрація для синхронізації підписок між пристроями.