Sanaa відкриті
[search 0]
більше
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
Щомісяця+
 
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
  continue reading
 
Sanaa Ya Wasanii is a platform that celebrates self-made artists in their own right. We delve into their lives, discussing their projects and their impact on them and society. Follow the conversations on all platforms.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Karibu katika makala ya Nyumba ya sanaa nami Steven Mumbi, hii leo Msanii Tourna Boy wa kizazi kipya kutoka mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo akielezea kuhusu juhudi za vijana wasanii kuchangia katika juhudi za kurejesha amani ya mashariki mwa nchi hiyo, katika mazungumzo na mwenzangu Ruben Lukumbuka alipotembelea eneo la Go…
  continue reading
 
Makala ya Nyumba ya sanaa wiki hii inamuangazia msanii wa muziki wa regae Mack El Sambo ambaye kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akihimiza amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, hususan kwenye mji wa Goma katika mkowa wa Kivu Kaskazini. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa …
  continue reading
 
Katika Nyumba ya sanaa wiki hii Steaven Mumbi akishirikiana na Ruben Lukumbuka ambaye wiki iliyopita alitembelea mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako alikutana na mbunifu wa sanaa mbalimbali ikiwemo ubunifu wa kutengeneza viatu bwana Christian Bazika anayetengeneza bidhaa za ngozi mashariki mwa nchi hiyo.…
  continue reading
 
Asha Jumbe maarufu White Maria ni Muigizaji aliyejizolea umaarufu akiwa na umri wa Miaka nane tu, sasa ni mtu Mzima aja kivingine kufanya sanaa ya Fimalu za kiswahili,Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumzia safari yake ya Uigizaji.RFI Kiswahili
  continue reading
 
Have our schools taught us to aim too low? Let's face the uncomfortable truth: education in African communities may be setting us up for the sidelines rather than the spotlight. This episode brings to light the stark realities of an educational system that often glorifies external achievements while sidelining Africa's own monumental contributions.…
  continue reading
 
Hospitali ya Inuka iliyo katika Wilaya ya Makambako Mkoani Njombe nchini Tanzania ni moja ya hospital inayotoa huduma ya utengamao kwa walemavu wa viungo na kuibua tabasamu kwa wana wa taifa hili kutoka mikoa mbali mbali nchini humu.RFI Kiswahili
  continue reading
 
Muziki wa Reggae ni miongoni mwa Miziki iliyopata mashiko mapema zaidi ukilinganisha na aina nyingine ya Muziki nchini Tanzania, Innocent Galinoma akiishi nchini Marekani ni miongoni mwa wasanii wa Mwanzo wa Muziki huo nchini Tanzania, Steven Mumbi amezungumza naye katika Makala haya.RFI Kiswahili
  continue reading
 
Ambwene Mwasongwe ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania, aliyejizolea umaarufu kutokana na nyimbo zilizojaa simulizi za Maisha na kubadili mitizamo kuhusu Maisha, Ungana na Steven Mumbi anazungumza na Muimbaji huyo.RFI Kiswahili
  continue reading
 
Miongoni ma wanamuziki wa muziki wa dansi waliofanikiwa kwenda barani Ulaya ni pamoja na Fresh Jumbe, baada ya kufanya sanaa hiyo kwa miaka mingi nchini Japan sasa amerejea Tanzania, Ungana na Steven Mumbi katika makala ya nyumba ya sanaa akizungumza na msanii huyo.RFI Kiswahili
  continue reading
 
Gathoni Mutua is a multi-faceted artist deeply passionate about holistic creativity. She stars as Sintamei in Single Kiasi which just started its second season, and is also an acting coach. Our host Sheila Kimathi had a chat with her as she took us through her journey in the film and art business. Follow this conversation and more on all our social…
  continue reading
 
Loading …

Короткий довідник